
Jinsi ya Kuangalia Form Five Selection 2025/2026
Ili kuona matokeo yako ya uchaguzi wa Kidato cha Tano 2025/2026, fuata hatua hizi rahisi:
- Tembelea tovuti rasmi ya TAMISEMI: https://selform.tamisemi.go.tz
- Bonyeza sehemu iliyoandikwa “Selection Results”
- Chagua mwaka 2025
- Ingiza Namba yako ya Mtihani
- Bonyeza “Search” kuona matokeo yako
Kama hutapata jina lako kwenye orodha ya waliochaguliwa, usiwe na wasiwasi bado kuna majina mengine ya waliochaguliwa yatatangazwa na TAMISEMI,
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara
Nifanye nini kama sijachaguliwa Kidato cha Tano?
Unaweza kuangalia nafasi kwenye vyuo vya ufundi (Technical Colleges), VETA, au FDCs. Pia unaweza kujisajili kwa michepuo ya kujitegemea (private candidates).
Naweza kubadilisha shule niliyochaguliwa?
Ndiyo, lakini utahitajika kufuata taratibu za TAMISEMI kuhusu mabadiliko ya shule.
Je, barua ya kujiunga na shule (Joining Instructions) nitapata wapi?
Unaweza kupakua kutoka kwenye tovuti ya shule yako au kupitia https://selform.tamisemi.go.tz.
Nitaanza shule lini?
Kawaida, wanafunzi wa Kidato cha Tano huanza masomo mwezi Julai kila mwaka.
Pia angalia;